Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,278
- Thread starter
- #161
Hakuna mwanachama wala shabiki wa Simba anayeweza kuiita (5imba) wewe ni shabiki wa mbuteni kule mnakotembeza bakuli mnatutakia mabaya nasi.Kule African Lyon Mo alikuwepo peke yake kama mmiliki na Kilomoni hakukuwepo, mbona Mo alishindwa kuipeleka hata nafasi ya 3 kwenye ligi?
5imba koko ilikuwepo kabla ya Mo. Viva Kilomoni, watuachie 5imba yetu.
.
Kwa mara ya kwanza toka dunia iumbwe Tanzania inapeleka timu nne kwenye mashindano ya kimataifa yani tumezibeba mgongoni timu (2) Mbute fc na KMC.
.
Mo wakati anaidhamini African Lyon hakuwahi kuweka hata million 500 unategemea ingefanya maajabu gani?
Acha chuki za kishamba Simba itabaki kuwa juu kileleni