TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Nachokereka ni kuona mzee kama huyu anasumbua kundi la watu wenye nguvu na uwezo watu kama hawa nje ya Tanzania ni kuwakodia hitman tu shughuli zingine ziendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mbona tabu hazijaisha?... hii kweli adui muombee njaaZamu yenu Simba kutaabika
Umemaliza kila kitu mkuu.Bi Hindu kamkana mzee mwenzake.
#Kamata kabisa akaungane na wakina Malinza hata miaka kumi akirudi akute John Bocco ndie kocha wa Simba.
Mungu mbariki KilomoniAmekatwa na jeshi la polisi,waandishi pia wamezuiwaView attachment 1162260
Nimekusoma .Mzee mimi ni mwanachama wa Simba Sports, nimeandika hivyo kwa uchungu sana kwanini Kilomoni atuvuruge basi Mo ajitoe billion 5 zake ale hasara kisha tuone Simba itakuwa wapi kama hata itamtoa DE songo na hela za kuwalipa wachezaji wanaolipwa dola 7000&10,000 wazilipe
Unamtukanaje huyu mzee nina uhakika anakuzidi umri. Si vizuri mtu mzima akikosea kuna namna ya kumkosoa mkuuNgoja wakamtindue marinda atie akili mtu mzima hovyoooooo
Aaaa wapi pandikizi lenu hilo ngoja likatatuliwe marinda na wasela huko rumande. Walipeni wachezaji mishahara kwanza Ndiyo mlete vishuzi vyenu kwenye ishu za Simba.Zamu yenu Simba kutaabika
Huyu ni mchawi tu haitakii mema Simba, Yanga wanamjaza upepo aje atuharibie. Huyu na pacha mwenzake Akilimali ni wa kupuuzwa tu.Unamtukanaje huyu mzee nina uhakika anakuzidi umri. Si vizuri mtu mzima akikosea kuna namna ya kumkosoa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu mbariki Kilomoni