Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Nachokereka ni kuona mzee kama huyu anasumbua kundi la watu wenye nguvu na uwezo watu kama hawa nje ya Tanzania ni kuwakodia hitman tu shughuli zingine ziendelee.
 
IMG_20190725_122128.jpg


IMG_20190725_122131.jpg


Khamis Kilomoni aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Klabu ya Simba amekamatwa leo kwa tuhuma za kuitisha kusanyiko nyumbani kwake bila kibali

Leo Julai 25, 2019, Mzee Kilomoni aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari, nyumbani kwake maeneo ya Kinondoni Jijini Dar

Hata hivyo Askari wa Jeshi la Polisi walifika na kumchukua kabla ya mkutano huo na Wanahabari kuanza

Hivi karibuni Mzee Kilomoni aliingia kwenye mgogoro na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji
 
Bi Hindu kamkana mzee mwenzake.
#Kamata kabisa akaungane na wakina Malinza hata miaka kumi akirudi akute John Bocco ndie kocha wa Simba.
 
Mzee mimi ni mwanachama wa Simba Sports, nimeandika hivyo kwa uchungu sana kwanini Kilomoni atuvuruge basi Mo ajitoe billion 5 zake ale hasara kisha tuone Simba itakuwa wapi kama hata itamtoa DE songo na hela za kuwalipa wachezaji wanaolipwa dola 7000&10,000 wazilipe
Nimekusoma .
 
wanashindwa kuwakamata waliompiga risasi Lisu,,
waliomteka Ben na Azory wanahangaika na mzee wa watu,,,,
 
Unamtukanaje huyu mzee nina uhakika anakuzidi umri. Si vizuri mtu mzima akikosea kuna namna ya kumkosoa mkuu
Huyu ni mchawi tu haitakii mema Simba, Yanga wanamjaza upepo aje atuharibie. Huyu na pacha mwenzake Akilimali ni wa kupuuzwa tu.
 
Back
Top Bottom