Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,278
- Thread starter
- #41
Mwakyembe hajui Soka, unakumbuka alisema nini kuhusu wachezaji wakigeni na jana akasema nini?Huyu Mzee Kilomoni alichotaka kusema ni mwendelezo wa alichosema mwakyembe jana,inasemekana alionana naye kwanza waziri akampa ABC ndiyo maana jana kaja na hoja ya asilimia 49 iwe na angalau na watu watatu hadi saba,so bado issue itakwama tu
.
Huyu anataka kutuharibia Soka letu na kuirudisha nyuma Simba yani Yanga iliko anataka turudi huko.
.
Magufuli amtumbue huyu