Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Mzee Kilomoni akamatwa na jeshi la Polisi

Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Kilomoni jiangalie hao jamaa sio watu ni Wafilisti
 
Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Natamani Mo ajitoe nione Simba itafika wapi kama hata dola elfu 10 za kumlipa Vieira watakuwa nazo natamani ishuke kuliko mbao
 
Amekatwa na jeshi la polisi,waandishi pia wamezuiwa
20190725_123223.jpeg
 
Back
Top Bottom