Nadhani si wafilisti bali ni mayahudi.Kilomoni jiangalie hao jamaa sio watu ni Wafilisti
Miwili mingi Mkuu hata siku tano tu katanyamazaAkiwekwa mahabusu hata miezi miwili akitoka atanyamaza
Hivi Mo akijitoa unadhani itapenya hata round ya kwanza Champions league?Makonda kawatuma vijana wake,ila kama Simba wako smart kweli wangemwacha tu Mzee Kilomoni, mbona hawataki aseme?
Ukiona mtu anabana sana freedom of expression,jua kuna mengi yamejificha
Makonda kawatuma vijana wake,ila kama Simba wako smart kweli wangemwacha tu Mzee Kilomoni, mbona hawataki aseme?
Ukiona mtu anabana sana freedom of expression,jua kuna mengi yamejificha
Yule njaa yake tu alikuwa anataka Mo amtoe na Mo naye kamkaushia.Wanaosema anatumwa na serikali waje huku ASAP
Utasubiri sana, gari limeshawaka hilo. Walipeni kwanza wachezaji wenu mishahara. Mnashabikia ujinga kama wa Akili Mali.Natamani Mo ajitoe nione Simba itafika wapi kama hata dola elfu 10 za kumlipa Vieira watakuwa nazo natamani ishuke kuliko mbao
Huyu Mzee Kilomoni alichotaka kusema ni mwendelezo wa alichosema mwakyembe jana,inasemekana alionana naye kwanza waziri akampa ABC ndiyo maana jana kaja na hoja ya asilimia 49 iwe na angalau na watu watatu hadi saba,so bado issue itakwama tuHivi Mo akijitoa unadhani itapenya hata round ya kwanza Champions league?
.
Huyu mzee anataka kurudisha maendeleo ya Michezo nyuma atimuliwe uanachama
Utakuwa mgeni TzKwanini iwe makonda?jeshi la polisi wanatimiza wajibu wao
Mzee mimi ni mwanachama wa Simba Sports, nimeandika hivyo kwa uchungu sana kwanini Kilomoni atuvuruge basi Mo ajitoe billion 5 zake ale hasara kisha tuone Simba itakuwa wapi kama hata itamtoa DE songo na hela za kuwalipa wachezaji wanaolipwa dola 7000&10,000 wazilipeUtasubiri sana, gari limeshawaka hilo. Walipeni kwanza wachezaji wenu mishahara. Mnashabikia ujinga kama wa Akili Mali.