Kwanini hao wamiliki wasifanye hayo au kuchangia kufanya hayo.., au wamekatazwa ? Wakiweza kufanya hayo hata Mo hawatamuhitaji.., hawa waache kelele wakae meza moja wayamalize mara zote vita huwa havina mshindi...5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?
Dah!!! Kweli ndo maana mnaitwa mbuX3Mimi mshabiki haki yangu ni kushangilia tinu ikifanya vizuri na kukosoa timu ikifanya vibaya. Hayo ya umiliki wa timu hayanihusu. Timu ata imilikiwe na nani as long as inapata matokeo mi fresh
Sawa hayo ni maoni yako, lakini mimi si mwanachama wa Simba, sina kadi wala sina maslahi yeyote zaidi ya kufurahi timu ikishinda basi. Hata ww ukiweza kununua hisa za Simba na ukaweza kuiwezesha timu kufanya vyema hiyo ndio furaha yangu kama mshabikiDah!!! Kweli ndo maana mnaitwa mbuX3