Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwanini hao wamiliki wasifanye hayo au kuchangia kufanya hayo.., au wamekatazwa ? Wakiweza kufanya hayo hata Mo hawatamuhitaji.., hawa waache kelele wakae meza moja wayamalize mara zote vita huwa havina mshindi...5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?