Mzee Kilomoni maswali yake makubwa ni haya.

Mzee Kilomoni maswali yake makubwa ni haya.

5.Ni kwanini Mo anajiita Mmiliki wa timu kwa sababu tu ya kusajili wachezaji na kulipa mishahara? hilo tu linatosha kuwa mmiliki?
Kwanini hao wamiliki wasifanye hayo au kuchangia kufanya hayo.., au wamekatazwa ? Wakiweza kufanya hayo hata Mo hawatamuhitaji.., hawa waache kelele wakae meza moja wayamalize mara zote vita huwa havina mshindi...
 
Mimi mshabiki haki yangu ni kushangilia tinu ikifanya vizuri na kukosoa timu ikifanya vibaya. Hayo ya umiliki wa timu hayanihusu. Timu ata imilikiwe na nani as long as inapata matokeo mi fresh
 
Kwasu kwasu fc wanaburuzwa na sauti ya ng'ombe
 
Kwisha habari
Screenshot_2019-08-07-10-12-24.jpeg
 
Mimi mshabiki haki yangu ni kushangilia tinu ikifanya vizuri na kukosoa timu ikifanya vibaya. Hayo ya umiliki wa timu hayanihusu. Timu ata imilikiwe na nani as long as inapata matokeo mi fresh
Dah!!! Kweli ndo maana mnaitwa mbuX3
 
Dah!!! Kweli ndo maana mnaitwa mbuX3
Sawa hayo ni maoni yako, lakini mimi si mwanachama wa Simba, sina kadi wala sina maslahi yeyote zaidi ya kufurahi timu ikishinda basi. Hata ww ukiweza kununua hisa za Simba na ukaweza kuiwezesha timu kufanya vyema hiyo ndio furaha yangu kama mshabiki
 
Back
Top Bottom