Mzee Kilomoni nenda kacheze na vitukuu sasa...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,777
...watu wameshafanya yao. Mzee Kilomoni sio tu kuwa si mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa Simba bali kisheria hayumo hata kwenye baraza lenyewe. Asipotoa hati ajiandae kwenda jela uzeeni. Bado yule mwenzie wa Yanga.

Soma viambatanisho
 
Attachments

  • IMG-20190716-WA0018.jpg
    75.7 KB · Views: 34
  • IMG-20190716-WA0017.jpg
    78.5 KB · Views: 35
...watu wameshafanya yao. Mzee Kilomoni sio tu kuwa si mwenyekiti wa baraza la wadhamini wa Simba bali kisheria hayumo hata kwenye baraza lenyewe. Asipotoa hati ajiandae kwenda jela uzeeni. Bado yule mwenzie wa Yanga.

Soma viambatanisho
Mbona barua ni za mwaka 2017 wameshindwaje kumfix huko mahakamani. Ila Mzee huyu kwa argument namkubali!
 
Mbona barua ni za mwaka 2017 wameshindwaje kumfix huko mahakamani. Ila Mzee huyu kwa argument namkubali!

Significance ya hizo barua ni huo mwaka. Unadhani Dewji alikurupuka siku ile aliopendekeza uwekezaji wake (iwe ni genuine or not)? Ni kwamba mkakati ulianza na mazingira yakajengwa kabla ya kutangaza.
 
Mbona barua ni za mwaka 2017 wameshindwaje kumfix huko mahakamani. Ila Mzee huyu kwa argument namkubali!
Shabiki wa gongowazi lazima umkubali yule mzee...argument zake zinaweza kuwapa chakula wale wachezaji wa gongowazi wakaacha kushindia matikiti kule morogoro
 
Msijidanganye nyuma Mzee Kilomoni kuna watu heavyweight kibao kiasi kwamba yeye anatumwa tu. Kama isingekuwa hivyo Mzee angekuwa Segerea.
Swala lake mzee limefungwa Leo; Hakuna kitu ambacho kinaweza kubadilika Mo ndiyo huyo tumeshamkabidhi timu. Kwaiyo mzee kama anataka aendelee zunguka aendelee lakini kitachobadilika hakuna 49% Mo. 51% wanachama
 
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...

sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..

kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..

simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
 
Shabiki wa gongowazi lazima umkubali yule mzee...argument zake zinaweza kuwapa chakula wale wachezaji wa gongowazi wakaacha kushindia matikiti kule morogoro
Ni kweli uyasemayo but nataka nikufahamishe anayecheka mwisho ndiye mshindi. Kwa hili sioni jinsi Timu Mo inavyoweza kushinda mtihani huu. Endeleeni na kejeli zenu ila muamze kujiandaa kuwalipa mishahara wale wabrazil la sivyo ya gongowazi yatawahusu.
 
Msijidanganye nyuma Mzee Kilomoni kuna watu heavyweight kibao kiasi kwamba yeye anatumwa tu. Kama isingekuwa hivyo Mzee angekuwa Segerea.
Wanapoteza, mzee keshapoteza, na hata kuhusu hati, mahakama imesharuhu simba wa issue hati mpya
 
Kilomon hajafukuzwa, ila mkataba wake uliisha since 2017...
 
wakati sisi tunatafuta ubingwa wa Africa.. nyie mpeni nguvu Kilomon.. mkataba wake na simba umeisha since 2017... sasa sijui anaenda mahakaman kama nani? shabiki au?
 
Hahaaah simba kuna mtihani gani???...mkuu endeleeni kusubiri sana mkuu....simba mda si mrefu inaenda kudondoka...simba inakufa kabisa...shangilia mkuu....hahaaah wenye mitihani wapo bigwa morogoro wanashindia matikiti πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Maneno mengi kumbe ni shabiki la gongowazi likijaribu kujifarijiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...mkuu umeongea blah blah nyingi....but hakuna lolote hapo....wewe ni shabiki wa gongowazi so unajaribu kuandika ambacho unatamani kitokee....mi nakushauri mkuu siku nyingine usijaribu kupoteza muda wako kuandika habari za simba huko sisi tulishatoka wanachama tulishaamua na tukapitisha mambo yetu kisheria...jaribu kutumia akili nyingi kuandika namna timu yako ya yanga inavyoweza kujikwamua na umasikini...wachezaji wapo kule morogoro wanashindia matikiti but hayo kwako hayana umuhimu unabakia kutuandikia hapa habari za vijiwe vya kahawa
 
Sasa kama hujajua waukae bi hindu ni mnafiki tu yani anauma na kupuliza huku akiwa na uhakika wa ugali wake mzee kilomoni anajipotezea heshima yake!

Na hakuna mtu mwenye nguvu Simba sports na asiye na nguvu ikiwa nyote ni wanachama na mnalipa ada ya kila mwezi ila kuna tunaowapa madaraka ya maamuzi!

Simba si Yanga sahau hilo kabisa
 
K
wakati sisi tunatafuta ubingwa wa Africa.. nyie mpeni nguvu Kilomon.. mkataba wake na simba umeisha since 2017... sasa sijui anaenda mahakaman kama nani? shabiki au?
Kama muda wa Mzee Kilomoni kuwa Mdhamini uliisha 2017, jiulize kwanini miaka 2 baadae bado mnazisotea hati kwake. Iambieni Mahakama imfunge basi kwa vile umegomea kumpa hati MO. Mnasuasua nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…