magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...
kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..
simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...
sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..
kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..
huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....
maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...
hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..
simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..
maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi