Mzee Kilomoni nenda kacheze na vitukuu sasa...

Mzee Kilomoni nenda kacheze na vitukuu sasa...

Sasa kama hujajua waukae bi hindu ni mnafiki tu yani anauma na kupuliza huku akiwa na uhakika wa ugali wake mzee kilomoni anajipotezea heshima yake!

Na hakuna mtu mwenye nguvu Simba sports na asiye na nguvu ikiwa nyote ni wanachama na mnalipa ada ya kila mwezi ila kuna tunaowapa madaraka ya maamuzi!

Simba si Yanga sahau hilo kabisa
Tatizo hati Zina jina la Sunderland
 
magori wala dewji hawana jeuri ya kumfukuza kilomoni... muda utaongea tu...

kilomoni, bi hindu na wengineo wana nguvu sana simba.. kuliko magori aliyekuja simba baada ya kufukuzwa nssf... kwa anaebisha asubiri.. muda utaongea tu..

simba na yanga ni timu za wananchi na serikali ipo nyuma yao wananchi wasiporwe timu zao...


sasa huyo magori na mo dewji utaona seke seke litakalowapata .. kwanza dewji na magori wanashtumiwa ufisadi na serikali..


kilomoni ni kivuli tu.. kuna watu kibao wana nguvu nchi hii wapo nyuma yake ..

huyo dewji seke seke atakalolipaya atajuta why amewekeza timu za wananchi....

maneno ya kikwete kwenye harambee ya yanga yana maana kubwa sana...

hizo timu ni zaidi ya timu za mpira za kawaida..


simba itaingia mgogoro mkubwa sana kutokana na seke seke la kilomoni..

maana mpaka leo hati anazo yeye.. sasa mtu unamfukuza na unashindwa kumpora hati umeona wapi
Nimekuelewa kwa iyo hapa Wananchi ni babu Kilomoni na bi Hindu
 
Hahaaah simba kuna mtihani gani???...mkuu endeleeni kusubiri sana mkuu....simba mda si mrefu inaenda kudondoka...simba inakufa kabisa...shangilia mkuu....hahaaah wenye mitihani wapo bigwa morogoro wanashindia matikiti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamehamia kwenye maboga ulinzi wa mashamba huko nasikia umeimarishwa
 
Tatizo la simba ni uoga uliopitiliza.... Wanamtukuza mo kana kwamba thamani ya simba ni zero kabisa.

Huu ni utumwa wa fikra... Kilomoni yupo kwenye msimamo sahihi... Ila uoga na tamaa za wanasimba ndio zinayumbisha nia ya kilomoni...

Sasa mo ndio atawaletea ujinga uliopitiliza... Mtamkumbuka kilomoni
Mchukueni nyie Yanga awasaidie
 
Mzee mvurugaji

Baada ya Manji kuondoka Yanga hatumuoni Mzee Akilimali

Akiondoka MO na Kilomoni atakaa pembeni


Hawa Wazee wenzangu nuksi kweli
Hawa wazee wanatumiwa na maadui wa soka la Tz wasiotaka maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini kwa hofu ya kupoteza ulaji, maslahi au ushawishi wa kisiasa kupitia mchezo wa mpira
 
Back
Top Bottom