Mzee Kilomoni: Simba haiwezi kuchukuliwa na mtu mmoja, narudia tena haiwezekani

Mzee Kilomoni: Simba haiwezi kuchukuliwa na mtu mmoja, narudia tena haiwezekani

wawekezaji mlishaambiwa achaneni na swala la kununua simba na yanga tafuteni team zingine mtaishia kupigwa hela na vikesi visivyoisha. chezeni na serikali tu
 
HUYU mzee apewe kesi money laundering akapumzike segerea,,,,,asitake kuleta ujinga wake
 
Hivi hawa wazee wa simba na yanga kazi yao nini, manake huko kwa wenzetu ulaya sijawahi kusikia wazee wa Manchester United,wazee wa Arsenal au wazee wa chelsea na ukiangalia wamepiga hatua kubwa bila hao wazee
 
Hawa wazee njaa tu, mambo ya soka waachane nayo walee wajukuu
 
Hivi hawa wazee wa simba na yanga kazi yao nini, manake huko kwa wenzetu ulaya sijawahi kusikia wazee wa Manchester United,wazee wa Arsenal au wazee wa chelsea na ukiangalia wamepiga hatua kubwa bila hao wazee
Ha..ha...ha tukikutana katika kikao cha wanachama inabidi tujadili na tuangalie katiba ya timu inasemaje kuhusu hao wazee na wadhamini.
Kama kuna kipengele cha wazee tupendekeze kifutiliwe mbali.
Maana hata elimu ya hisa hawana na kueleweshwa hawataki.
Sioni mchango wao ktk timu zaidi ya kuleta migogoro inayotokana na upeo wao mdogo wa kujua namna ya kuendesha timu ya mpira.
Kama wana jambo ni afadhali walilete katika vikao halali vya timu ili lijadiliwe na wanachama.
Kitendo cha kukimbilia ktk vyombo vya habari ni kuwadharau wanachama na kuendekeza uropokaji wenye lengo la kudhoofisha timu kwa kuzua migogoro isiyo na tija.
Nitaitoa hii hoja kwenye kikao kijacho cha wanachama wa timu ya Simba sc.
Vizee vyenyewe havina hata sumni ya kuendesha timu na vinajidai kukataa uwekezaji bila kutoa njia mbadala ya kughalimia na kuboresha maendeleo ya timu.

Stupid folk
 
Kimenuka huko mtaa wa pili wa Kinywaji maarufu kijulikanacho 7UP.

Mmoja wa viongozi wa bodi ya wadhamini kwa muda mrefu sana pale SABASABA FC leo ametanabaisha wazi kuwa uongozi wa klabu hiyo unafanya mambo ya kiofisi kihuni, na kuhusu mpango wa kumpa "MO'' timu amesema hautokuja wezekana kamwe.

Na kwamba kama wanaSABASABA FC wanataka mabadiliko, basi wataendelea kuyapata bila kuiweka rehani klabu hiyo....''Kwani kama mabadiliko Simba tumefanya mengi, tulikuwa hatuna majengo sasa tunayo, hatukuwa na kiwanja sasa tutajenga karibuni," Alinukuliwa akisema

Mzee huyo anayeheshimika kwenye klabu hiyo alitanabaisha hayo yote wazi akiongea na vyombo vya Habari alasiri hii.


View attachment 554150 View attachment 554151 View attachment 554152 View attachment 554153
Huyo Mzee Anaweweseka, wenye Mali ni wanachama..yeye ana mipaka yake ila timu ni ya wanachama..atulie sisi tunataka uwekezaji kwenye timu, inendeshwe kisasa..
 
Vizee vingine bana nuksi tupu ukiviambia visajili ata mchezaji mmja wa ndondo tu vinajamba jamba
 
Mzee umechelewa na hiyo njaa yako imekuweka pabaya,Yanga wameshakutosa uko peke yako.
Screenshot_2019-08-07-10-12-24.jpeg
 
Sisi mashabiki wa simba bado tuna imani na Mzee Kilomoni! Na mpaka sasa, bado tunayaishi maneno yake.
Lazima mtaipenda Simba tu,huko Yanga mlipotea njia. Karibuni Club kubwa Simba achaneni na hilo timu bovu lisiwape ugonjwa wa moyo bure.
 
Back
Top Bottom