BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa itamuua aende akalime kijijini kwakeNaunga mkono hoja za Mzee huyu.
Ha..ha...ha tukikutana katika kikao cha wanachama inabidi tujadili na tuangalie katiba ya timu inasemaje kuhusu hao wazee na wadhamini.Hivi hawa wazee wa simba na yanga kazi yao nini, manake huko kwa wenzetu ulaya sijawahi kusikia wazee wa Manchester United,wazee wa Arsenal au wazee wa chelsea na ukiangalia wamepiga hatua kubwa bila hao wazee
Huyo Mzee Anaweweseka, wenye Mali ni wanachama..yeye ana mipaka yake ila timu ni ya wanachama..atulie sisi tunataka uwekezaji kwenye timu, inendeshwe kisasa..Kimenuka huko mtaa wa pili wa Kinywaji maarufu kijulikanacho 7UP.
Mmoja wa viongozi wa bodi ya wadhamini kwa muda mrefu sana pale SABASABA FC leo ametanabaisha wazi kuwa uongozi wa klabu hiyo unafanya mambo ya kiofisi kihuni, na kuhusu mpango wa kumpa "MO'' timu amesema hautokuja wezekana kamwe.
Na kwamba kama wanaSABASABA FC wanataka mabadiliko, basi wataendelea kuyapata bila kuiweka rehani klabu hiyo....''Kwani kama mabadiliko Simba tumefanya mengi, tulikuwa hatuna majengo sasa tunayo, hatukuwa na kiwanja sasa tutajenga karibuni," Alinukuliwa akisema
Mzee huyo anayeheshimika kwenye klabu hiyo alitanabaisha hayo yote wazi akiongea na vyombo vya Habari alasiri hii.
View attachment 554150 View attachment 554151 View attachment 554152 View attachment 554153
Lazima mtaipenda Simba tu,huko Yanga mlipotea njia. Karibuni Club kubwa Simba achaneni na hilo timu bovu lisiwape ugonjwa wa moyo bure.Sisi mashabiki wa simba bado tuna imani na Mzee Kilomoni! Na mpaka sasa, bado tunayaishi maneno yake.
Mlimponza Mzee wa watu kapata kiharusi mumejikunyata hapo Jangwani hata hamumjali.Mzee tutamkumbuka sana
Ni kanjibahi katumia pesa yakeMlimponza Mzee wa watu kapata kiharusi mumejikunyata hapo Jangwani hata hamumjali.
Nyie Utopolo ndiyo mlimjaza upepo mkijua ana uwezo wa kuvuruga mchakato lakini aliangukia pua. Nyie watu wa hovyo sana na Yanga yenu mbofumbofuNi kanjibahi katumia pesa yake