Mzee Kilomoni Tupo nyuma yako usiyumbishwe

Nilisema huyo Mo miaka yake ni miwili tu. Akifurukuta Sana ni mitatu.
Arudi Singida United au akainunue upya African Lyon.

Binafsi huwa nashangaa mno pale baadhi ya wanasimba wanaposema Simba ni matajiri...Ukiwauliza utajiri wenu uko wapi? Wao wanatambia utajiri wa Mo sawa na Yanga walipokuwa wanatambia utajiri wa Manji...ukiwauliza wanasimba hao kama ninyi ni matajiri akaunti ya klabu ina kiasi gani wanabaki wanazungusha macho...Kama MO ni mwekezaji ina maana anafanya biashara, hayuko tayari kupata hasara kwa hiyo akitoa fedha za usajili na uendeshaji wa timu/klabu ina maana anatarajia atanufaika kibiashara
 
Mzee mwenzangu hakuna asiyependa maendeleo ilab ukiona wazee wanalalamika fahamu kuna jambo halipo sawa
 
Bora umeongea mzee mwenzangu anachokosea huyu anawaza faida zake bnafs kabla ya timu

Afahamu tu simba ni kubwa kuliko anavyoichukilia
 
Inamaana huoni mafanikio ya simba? Au umeifahamu simba mwaka jana
Nyie watu hivi ni mashetani? huu uswahili wenu ni mpaka lini?
Tangu mwaka 1935. Simba imepiga hatua gani kubwa na muhimu chini ya uongozi wenu?
 
Kilomoni wako huyo akiachiwa aendeshe timu ataweza japo hata kwa masaa48? Usikute hata wewe ni mshabiki tu hujawahi kulipa hata ada.
 
Nyie ndio vijana oya oya fuata upepo tutawanyoosha tu jipeni muda
Sema wewe , usiwaingize wanasimba wengne, !! Tunatofautiana akili, mawazo, perception na kila kitu , so usiwaingize watu wengne tukaonekana wote tupo ku support vitu vya ajabu
 
Ukiulizwa mafanikio ya simba nje ya uwanja inanini utajibu?
Au mo anataka atumie ujanja wa kujilimbikizia Mali kipitia jina lake siku akiondoka abebe ns utajiri wa simba tuanze moja tena
Upuuzi kumpinga uwekezaji wa MO bila ya sababu ya msingi maana ukiangalia hadi MO kafeli wapi au tu balance faida na hasara za MO zipi kubwa?
 
Wanapenda kujiita matajiri. Ukweli ni kwamba matumizi bado ni makubwa kuliko mapato.
Ujeuri wao ni hela ya Mo. Lakini wanasahau anawakopesha. Siku ya ku balance assets na madeni watakuta hiyo billion 20 ilishayeyuka zamani na bado kuna deni kubwa.
 
Hizo Chelsea, Man City na nyingine nyingi, wawekezaji hawakuchukua mali za wanachama, wamemilikishwa timu. Mali za wanachama zinamilikiwa na kampuni zilizoanzishwa na wanachama, kiu ya mabadiliko imesababisha kuingia kichwa kichwa bila mambo ya msingi kuwekwa sawa. Mo aachane na majengo ya klabu, yeye atumie klabu ya simba kupata faida yake
 
Kuingia robo fainali sio kitu cha ajabu kwenye Soka
Tusichotaka ni timu kugeuzwa timu ya mtu
Hiyo janja mo kutaka kwenda kusajili mali za simba lina ukakasi mkubwa
 

Kelele kibao ukiulizwa hapo kwa mwaka unachangia sh ngapi hata mia utoi,
Mfano mo akipewa hiyo hati ya jengo ww unapata hasara gani? Unajua utajiri wa mo ni how much? Fanya value na thamani ya hilo jengo, Yan kwa akili yako mtu anaweza kutoa milion moja ili apate jengo la timu lenye dhaman ya laki 8?
 
We ndio utakuwa huelewi kinachozungumzwa
Hata ukiambiwa usajili mchezaji mmoja kwa Laki moja halafu umlipe mshahara elfu hamsini kwa mwaka huwezi ila mmejaa uswahili mtupu
 
Kuingia robo fainali sio kitu cha ajabu kwenye Soka
Tusichotaka ni timu kugeuzwa timu ya mtu
Hiyo janja mo kutaka kwenda Rita kusajili mali za simba lina ukakasi mkubwa

Wakati timu sio ya mtu ilikuwa na mafanikio gani? Wakati simba sio ya mtu mlikuwa na uwezo kama mliokuwa nao leo?
 
Kabisa mkuu bakresa ameonyesha njia hawa wengine ni wapigaji tu
Mwekezaji kwenye mpira wa Tanzania yupo mmoja - Bakhresa. Wengine wote hawa matapeli tu.
Kama hawataki kuwekeza Kama Bakhresa, waendelee kuwa wafadhili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…