Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Bundi katua kipindi muafakaTeh ...
Kwa jirani kunafuka moshi ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bundi katua kipindi muafakaTeh ...
Kwa jirani kunafuka moshi ...
Nilisema huyo Mo miaka yake ni miwili tu. Akifurukuta Sana ni mitatu.
Arudi Singida United au akainunue upya African Lyon.
Kwani hiyo Mzee anasemaje?
Mzee mwenzangu mbona kama povu povu flan
Mianya imeshikwa nini? Natania tu mkuu.
Embu toa faida na hasara za uwepo wa Mo Simba?
Hao waliomwaga mipesa kuliko Mo. Simba ilifika wapi? Na baada ya hapo imefika wapi?
Sheria za mikataba zipo nyingi. Anaweza kukabidhiwa mali ila kisheria ambayo itambana utumiaji wa mali kibinafsi.
Sijaona ubaya ya uwekezaji wa aina hii ya Mo.
Labda Mo anaogopa akiwekeza anaweza kutokunufaika na upande wa pili wa hao wapingao wana wasi wasi labda akikabidhiwa ndio basi watageukwa na Mo.
Timu ya mf. Ni TP Mazembe Supersport zilikua na wanachama hivi hivi hazikua zikipiga hatua ila baada ya kuamua kuibgia kwenye mfumo wa kiuwekezaji tunayaona mafanikio.
Kusema haiwezekani ni rahisi ila kwa nini haiwezekani ugumu huanzia hapo. Mkuu labda jaribu kupinga kwa hoja Kwa nini Mo asipewe timu.?
Binafsi naunga mkono uwekezaji huu labda pande mbili zikae zione kila mmoja ananufaikaje. Sababu kuendesha taasisi kubwa kama simba ni inahitaji weledi na taaluma yenye kusadifu mahitaji ya timu.
Vita ya panzi,furaha kwa kunguru, endeleeni kuzinguana tu
MO ataondoka kwa Aibu sana kwenye Club yetu ya Simba !
Naunga mkono sana tu kuifanya Club yetu kuendeshwa kibiashara lakin hawezi kufanikiwa kwa kuwa Serikal haipo tayari kukabidhi timu za Simba na Yanga kwa Wafanyabiashara
Simba na Yanga ni zaid ya Club za Mpira
Mzee Kilomoni ana watu wazito sana Nyuma yake
Kwa kuwa 2020 imekaribia na kwa kuwa Serikal iliamua kumvuruga Manji basi this time imeamua yenyewe kusaidia Timu ndio sababu kaibuka Mh.Mavunde from no where na kuanzia aliloanzisha ili timu Irish kwny Chart
MO angerudi kwny AFRICA Lyon na kufanya uwekezaji au angeanzisha ‘Azam’ yake
Mwigulu alianza Heka heka na Singida United uwaziri ukamtokea Puani!
Nilisema huyo Mo miaka yake ni miwili tu. Akifurukuta Sana ni mitatu.
Arudi Singida United au akainunue upya African Lyon.
Nyie watu hivi ni mashetani? huu uswahili wenu ni mpaka lini?
Tangu mwaka 1935. Simba imepiga hatua gani kubwa na muhimu chini ya uongozi wenu?
Huwa nikipita mitandaoni nasikitika sana kwa mashabiki wa Simba kumbull mlezi mkuu wa simba, kumtukana matusi ya kila aina eti kisa wanamuwekezaji Mo
Sisi tulioapa kuwa simba haiwezi kubadilishwa kuwa timu ya mtu tutasimama na mzee wetu hata wale wapiga kelele wanaotumwa na mo kumtukana mzee wetu wataparaganyika na kutuachia timu yetu
Vijana oya oya wa simba ambao wao huwaza mambo ya Leo tu kamwe hawatatushinda.
Yes we are conservative we will not change
Sisi tunajua mo nimfanyabiashara hatadumu pale milele kwanini anataka akabidhiwe hati ya Mali za simba?
Kwa lipi alilolifanya? Asidhani yeye ndio ametoa pesa nyingi kuliko waliomtangulia kuna matajiri walimwaga pesa simba na hawakuweka mashariti magumu Kama anayodai huyu mo
Mo sisi wazee tunakuambia ijawezekana kwenye mkutano wa simba tukawa tunakupigia makofi ili kukufurahisha ila tambua simba haiwezi kumilikiwa na mtu
Simba ni timu ya wanachama Hilo halitabadilika mpaka mwisho wa dunia
Kama pesa zako ni chungu kuzitoa rudi ukawekeze African lyion uliyoikimbia
Ila simba huku hautapaweza huku hakuna ngombe aliyekatwa mkia huku wote ni makambale, utatamba miaka mitatu mingapi mwisho tutakukata kichwa jifunze kwa manji sio kwamba haipendi Yanga ila alitaka kuichikua yanga iwe ya kwake ila watu wasioonekana walimshinda
Hata Hapo simba inawezekana wanaoonekana kina kingwangwala and kina makonda unawamudu ila nikutoe shaka Hao hawana nguvu yeyote ndani ya simba ni Kama waburudishaji tu
Wenye nguvu ni Hawa aina ya kina kilomoni wapo wengi hawapo mitandaoni utakwama tu
Mzee kilomoni sisi wanasimba Tupo pamoja na wewe acha mashabiki wapige kelele mitandaoni
Simba haitabadilika kwa tamaa ya fedha ya mlo mmoja
Kila kijiji hakikosi wazee
Sema wewe , usiwaingize wanasimba wengne, !! Tunatofautiana akili, mawazo, perception na kila kitu , so usiwaingize watu wengne tukaonekana wote tupo ku support vitu vya ajabu
Upuuzi kumpinga uwekezaji wa MO bila ya sababu ya msingi maana ukiangalia hadi MO kafeli wapi au tu balance faida na hasara za MO zipi kubwa?
Wanapenda kujiita matajiri. Ukweli ni kwamba matumizi bado ni makubwa kuliko mapato.Binafsi huwa nashangaa mno pale baadhi ya wanasimba wanaposema Simba ni matajiri...Ukiwauliza utajiri wenu uko wapi? Wao wanatambia utajiri wa Mo sawa na Yanga walipokuwa wanatambia utajiri wa Manji...ukiwauliza wanasimba hao kama ninyi ni matajiri akaunti ya klabu ina kiasi gani wanabaki wanazungusha macho...Kama MO ni mwekezaji ina maana anafanya biashara, hayuko tayaei kuapata hasara kwa hiyo akitoa fedha za usajili na uendeshaji wa timu/klabu ina maana anatarajia atanufaika kibiashara
Hizo Chelsea, Man City na nyingine nyingi, wawekezaji hawakuchukua mali za wanachama, wamemilikishwa timu. Mali za wanachama zinamilikiwa na kampuni zilizoanzishwa na wanachama, kiu ya mabadiliko imesababisha kuingia kichwa kichwa bila mambo ya msingi kuwekwa sawa. Mo aachane na majengo ya klabu, yeye atumie klabu ya simba kupata faida yakeSasa nyinyi mnataka mwekezaji asipate faida?Hebu jifunzeni kwa Chelsea,Man City na PSG timu zile zipo pale sababu watu wemeweka hela zao na faida zinaoneka,Bakheresa sio mfadhili bali ni mmiliki wa wa Azam 100%.Ila nyie endeleeni tu si wenzenu Yanga tunaungaunga,nyie mmempata mwekezaji mnazingua.Ila kaa ukijua Tanzania HAMNA WAPENZI WA MPIRA BALI KUNA MASHABIKI WA MPIRA.
Yaani vitu vyengine hivi eti mzee wetu,karne hii ya 21 mnafuga wa zee kwenye club.Mimi sijawahi kusikia wazee wa Manchester Utd,Wazee wa Arsenal,Wazee wa Liverpool nk,huu ujinga anapatika kwetu TZ mtu anataka kuwekeza mpeni timu,tatizo zengwe kama hili linaibuka sababu milango ya upigwaji imezibwa lakini Mo yupo sawa,ndani ya msimu mmoja simba imeingia robo fainali na kama Mo akiachiwa timu,usishangae baada ya miaka 3 inaweza fanya makubwa ktk soka la Afrika.
Au mnapenda kutembeza bakuli kama timu yetu ya Yanga ambayo ina migogoro kibao,mwacheni Mo afanye kazi kwani uendeshwaji wa mpira wa kisasa auhitaji wazee bali watu kama akina Mo,hao wazee wakalee wajukuu wao kwao na familia zao.Sasa rukeni rukeni alafu mfanye upuuzi wa kumfukuza Mo muone naona mmeimiss migogoro.
Huwa nikipita mitandaoni nasikitika sana kwa mashabiki wa Simba kumbull mlezi mkuu wa simba, kumtukana matusi ya kila aina eti kisa wanamuwekezaji Mo
Sisi tulioapa kuwa simba haiwezi kubadilishwa kuwa timu ya mtu tutasimama na mzee wetu hata wale wapiga kelele wanaotumwa na mo kumtukana mzee wetu wataparaganyika na kutuachia timu yetu
Vijana oya oya wa simba ambao wao huwaza mambo ya Leo tu kamwe hawatatushinda.
Yes we are conservative we will not change
Sisi tunajua mo nimfanyabiashara hatadumu pale milele kwanini anataka akabidhiwe hati ya Mali za simba?
Kwa lipi alilolifanya? Asidhani yeye ndio ametoa pesa nyingi kuliko waliomtangulia kuna matajiri walimwaga pesa simba na hawakuweka mashariti magumu Kama anayodai huyu mo
Mo sisi wazee tunakuambia ijawezekana kwenye mkutano wa simba tukawa tunakupigia makofi ili kukufurahisha ila tambua simba haiwezi kumilikiwa na mtu
Simba ni timu ya wanachama Hilo halitabadilika mpaka mwisho wa dunia
Kama pesa zako ni chungu kuzitoa rudi ukawekeze African lyion uliyoikimbia
Ila simba huku hautapaweza huku hakuna ngombe aliyekatwa mkia huku wote ni makambale, utatamba miaka mitatu mingapi mwisho tutakukata kichwa jifunze kwa manji sio kwamba haipendi Yanga ila alitaka kuichikua yanga iwe ya kwake ila watu wasioonekana walimshinda
Hata Hapo simba inawezekana wanaoonekana kina kingwangwala and kina makonda unawamudu ila nikutoe shaka Hao hawana nguvu yeyote ndani ya simba ni Kama waburudishaji tu
Wenye nguvu ni Hawa aina ya kina kilomoni wapo wengi hawapo mitandaoni utakwama tu
Mzee kilomoni sisi wanasimba Tupo pamoja na wewe acha mashabiki wapige kelele mitandaoni
Simba haitabadilika kwa tamaa ya fedha ya mlo mmoja
Kila kijiji hakikosi wazee
Apewe tu hizo hati ili akavutie mkopo mnene benki ili kuendeleza hiyo biashara yake ya boda boda aliyoianzisha. Matunda tumeyaona baada ya kuwagawia na wachezaji. Inalipa bila shaka.
Hata ukiambiwa usajili mchezaji mmoja kwa Laki moja halafu umlipe mshahara elfu hamsini kwa mwaka huwezi ila mmejaa uswahili mtupu
Kuingia robo fainali sio kitu cha ajabu kwenye Soka
Tusichotaka ni timu kugeuzwa timu ya mtu
Hiyo janja mo kutaka kwenda Rita kusajili mali za simba lina ukakasi mkubwa
Mwekezaji kwenye mpira wa Tanzania yupo mmoja - Bakhresa. Wengine wote hawa matapeli tu.
Kama hawataki kuwekeza Kama Bakhresa, waendelee kuwa wafadhili.