Pre GE2025 Mzee Kimbisa amzidi Ujanja Mbowe huku Mzee Kikwete apigilia Msumari wa Mwisho. Zoezi la uchaguzi wa Rais kikampeni za ndani limetamatika!

Pre GE2025 Mzee Kimbisa amzidi Ujanja Mbowe huku Mzee Kikwete apigilia Msumari wa Mwisho. Zoezi la uchaguzi wa Rais kikampeni za ndani limetamatika!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watu wengi walifikiri patakuwepo ushindani kidogo wa kumpata Mgombea uRais kupitia CCM na hapo ndipo Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe aliona atahitajika sana kusaidia

Sasa alichofanya Mzee Kimbisa Kwenye Azimio lake kumeondoa kabisa uwezekano wa Mgombea uRais mmoja Wao kuhitaji msaada wa Mbowe

Na Mzee Kikwete alishapigilia msumari Kwa kusema Ushindi wa CCM October hauna Mjadala

Kibajaj alitaka Kufanya jambo Fulani akazimwa, labda alitumwa na Boss wake wa zamani akiwa Chadema

Siasa ni Sayansi

Ahsanteni sana 😄
 
Allah awachanganye ivo ivo na mjichanganye Kama mnavo karibia kujichanganya nawafatilia
 
Body language ya JK inaonyesha kasukumiziwa kuongea,haafiki kilichoamuliwa ndo maana kawaambia vijana msinyanyue kwanza mabango sikulizeni mpaka mwisho mambo ya msingi yanapoongelewa
Walitaka yakaongelewe vikao vijabyo na kuamuluwa form 1 ama la.....
 
Back
Top Bottom