johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu wengi walifikiri patakuwepo ushindani kidogo wa kumpata Mgombea uRais kupitia CCM na hapo ndipo Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe aliona atahitajika sana kusaidia
Sasa alichofanya Mzee Kimbisa Kwenye Azimio lake kumeondoa kabisa uwezekano wa Mgombea uRais mmoja Wao kuhitaji msaada wa Mbowe
Na Mzee Kikwete alishapigilia msumari Kwa kusema Ushindi wa CCM October hauna Mjadala
Kibajaj alitaka Kufanya jambo Fulani akazimwa, labda alitumwa na Boss wake wa zamani akiwa Chadema
Siasa ni Sayansi
Ahsanteni sana 😄