DOKEZO Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni powa lakini tukiendelea hivi katiba itakuja kwa ulazima na uchungu sana.

Kuna uwezekano kabisa mpaka Katiba ije Muungano utakuwa umefikia pabaya. Uhasama ambao unaanza wa watu kuelimishwa kwamba wanzanzibari wanapendelewa (kitu ambacho ni kweli) utakuwa umeota mizizi kiasi kwamba mtihani wa Katiba utaleta vurugu kwenye nchi.

Ni bora sana kufanya sasa mambo ya katiba kuliko baadae. Rais Samia anajifikiria yeye tu bila kujua miaka ijayo akiwa amestaafu atakuja kujuta kwa mambo yatakayotokea miaka ijayo.

Kwa kuanzia, Kinana ambaye anafikiria biashara zake tu ni lazima wasisikilizwe na waje wazee wengine wenye maono.

Yaani ni bora mzee Pinda kuliko Kinana
 
Lakini kumpata CCM msafi ni ngumu
Wote wanamiliki biashara au Wana share kwenye biashara

Ndo maana ni ngumu sana nchi kusonga mbele

Kila unapogusa Kuna vigogo Wana hisa
Nchi inakosa mapato waziri anaenda omba mkopo wa bill 30 ni aibu
 
Mkuu Kamundu, japo naheshimu mawazo yako, na mara nyingi mawazo yetu yanafanana, but this time I'd like to diffef,

Comrade Kinana is one of the best and the finest CCM has!, usimuite jangili kwasababu hajawahi kushitakiwa popote kwa kesi yoyote ya jinai!. Comred Kinana is very bold na kwa taarifa yako ndie aliwezesha maridhiano, Chadema wakavuta mzigo wa maana, wakaweza kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kugharimiwa vitu mbalimbali ikiwemo lile jengo lao jipya ambalo lime happens kuwa next to my family home, hivyo wazazi wangu ni jirani na Chadema.
Hata zile fedha za foreign trips za viongozi wenu, zimetolewa na Maza!.

Pili usimtishe Maza kuhusu muungano, tunaulinda kwa gharama yoyote!.

P
 
Kwa hiyo anafaa kwa sababu CHADEMA wameridhiana,kuhongwa/kuvuta mzigo ambao ni haki yao(kupewa haki yao ya ruzuku) au kuna lingine?Kinana hana uchangamfu wa hoja/kueleweka.Too old and dormant to copy the pace!
 
Lakini kumpata ccm msafi ni ngumu
Wote wanamiliki biashara au Wana share kwenye biashara

Ndo maana ni ngumu sana nchi kusonga mbele

Kila unapogusa Kuna vigogo Wana hisa
Nchi inakosa mapato waziri anaenda omba mkopo wa bill 30 ni aibu
Pinda,Warioba,Paul Kimiti wapo...tatizo lao ni kautifuu' Kwa CCM !
 
Lakini kumpata ccm msafi ni ngumu
Wote wanamiliki biashara au Wana share kwenye biashara

Ndo maana ni ngumu sana nchi kusonga mbele

Kila unapogusa Kuna vigogo Wana hisa
Nchi inakosa mapato waziri anaenda omba mkopo wa bill 30 ni aibu
✍️👍👌👏🤝🙏🛡️
 
Mkuu Kamundu, japo naheshimu mawazo yako, na mara nyingi mawazo yetu yanafanana, but this time I'd like to diffef,

Comrade Kinana is one of the best and the finest CCM has!, usimuite jangili kwasababu hajawahi kushitakiwa popote kwa kesi yoyote ya jinai!. Comred Kinana is very bold na kwa taarifa yako ndie aliwezesha maridhiano, Chadema wakavuta mzigo wa maana, wakaweza kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kugharimiwa vitu mbalimbali ikiwemo lile jengo lao jipya ambalo lime happens kuwa next to my family home, hivyo wazazi wangu ni jirani na Chadema.
Hata zile fedha za foreign trips za viongozi wenu, zimetolewa na Maza!.

Pili usimtishe Maza kuhusu muungano, tunaulinda kwa gharama yoyote!.

P
Huu upuuzi wa tutaulinda Muungano kw gharama yoyote hakikautakuja kuleta matatizo.makubwa ! Hivi hata wewe msomi usiye na cheo chochote kwenye mfumo una Mawazo ya kipumbavu hivi! Viongozi wengi wa juu wa.CCM wanalia chinichini ...Pinda aliwahi kuonesha waziwazi Bungeni ,kuhusu Zanzibar,Warioba yupo bold ...wajomga shupazeni shingo!
 
Lete ushahidi Mkuu.
 
Chawa mkuu, chawa wa mama Pascal Mayalla muungano una faida gani?
 
Huu upuuzi wa tutaulinda Muungano kw gharama yoyote hakikautakuja kuleta matatizo.makubwa ! Hivi hata wewe msomi usiye na cheo chochote kwenye mfumo una Mawazo ya kipumbavu hivi! Viongozi wengi wa juu wa.CCM wanalia chinichini ...Pinda aliwahi kuonesha waziwazi Bungeni ,kuhusu Zanzibar,Warioba yupo bold ...wajomga shupazeni shingo!
Nani kakwambia hana cheo chochote?
 
Tungekuwa na viongozi wa CCM walionyoka kiakili, kimaono, kiuzalendo, na kihekima kama Mzee WARIOBA au BUTIKU, sijui CCM ingesemwa kwa ubaya gani!! Ukimsikiliza Warioba, utaona kabisa ni mtu anayewafikiria na kwaweka
WATANZANIA na TANZANIA kwanza, kabla ya CCM au maslahi yake binafsi. Ndiyo maana hajawahi kuwa chawa wala mnafiki.
 
Back
Top Bottom