Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu Pascal nakuunga mkono kuhusu Kinana, ni mzee mmoja mwenye maono na uelewa mpana wa mambo, hana papara, yupo very composed.Mkuu Kamundu, japo naheshimu mawazo yako, na mara nyingi mawazo yetu yanafanana, but this time I'd like to diffef,
Comrade Kinana is one of the best and the finest CCM has!, usimuite jangili kwasababu hajawahi kushitakiwa popote kwa kesi yoyote ya jinai!. Comred Kinana is very bold na kwa taarifa yako ndie aliwezesha maridhiano, Chadema wakavuta mzigo wa maana, wakaweza kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kugharimiwa vitu mbalimbali ikiwemo lile jengo lao jipya ambalo lime happens kuwa next to my family home, hivyo wazazi wangu ni jirani na Chadema.
Hata zile fedha za foreign trips za viongozi wenu, zimetolewa na Maza!.
Pili usimtishe Maza kuhusu muungano, tunaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Kuhusu suala la muungano hakuna mtu anayesema au kutaka muungano usambaratike hapana, hamna, wote tunataka muungano bora, wenye manufaa kwa kila upande wa muungano.
Maana Mkuu mara nyingi umekuwa ukitoka with all your guns cocked kuwa tutaulinda muungano kwa gharama yoyote ile!!! Muungano ni wetu sote sio 'wa kwenu!'
Tunachosema kwenye muungano wetu tupitie maeneo yenye ukakasi, utata na masigano tuyaweke sawa ili uwe ni muungano bora na wa haki kwa pande zote mbili!
Muungano huu usiwe wa kunafaisha kaki kundi kadogo ka watu na familia zao! Kwa sasa jinsi ulivyo unaonekana haunufaishi wanzibari wala watanganyika!!!