Mkuu
Kamundu, japo naheshimu mawazo yako, na mara nyingi mawazo yetu yanafanana, but this time I'd like to diffef,
Comrade Kinana is one of the best and the finest CCM has!, usimuite jangili kwasababu hajawahi kushitakiwa popote kwa kesi yoyote ya jinai!. Comred Kinana is very bold na kwa taarifa yako ndie aliwezesha maridhiano, Chadema wakavuta mzigo wa maana, wakaweza kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kugharimiwa vitu mbalimbali ikiwemo lile jengo lao jipya ambalo lime happens kuwa next to my family home, hivyo wazazi wangu ni jirani na Chadema.
Hata zile fedha za foreign trips za viongozi wenu, zimetolewa na Maza!.
Pili usimtishe Maza kuhusu muungano, tunaulinda kwa gharama yoyote!.
P