DOKEZO Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
kuulinda Muungano kwa gharama yoyote ni pamoja na kurekebisha Katiba ili kuondoa malalamiko na makandokando vinginevyo P unaubomoa kisayansi kwa kumaitain status quo
 
kuulinda Muungano kwa gharama yoyote ni pamoja na kurekebisha Katiba ili kuondoa malalamiko na makandokando vinginevyo P unaubomoa kisayansi kwa kumaitain status quo
Wale wanaodai kuwa wanaulinda muungano kwa gharama na kuwaona wanao hoji au kulalamikia mapungufu ya muungano ikiwepo muundo wake kuwa wanataka kuvunja muungano hao ndiyo wanaulekeza muungano huu shimoni. Huwezi fumbia macho dosari zinazolalamikiwa na Watanganyika na Wazanzibari kwa kuamini kuwa zitajiondoa zenyewe ni kujidanganya tu.
 
Gharama yoyote ndio gharama gani?
 
Mama msikivu. Leo kasikia ushauri wako na kwa vile umeshamchagulia mbadala, naye tusubiri atangazwe tu.

Ila mama mwenyewe alitaka kumweka Pinda akiba ili awe mgombea mwenza. Mtihani!
 
Muungano wetu adhimu na adimu tutaulinda kwa gharama yoyote maana yake tutaulinda kwa moyo wetu wote, kwa nguvu zetu zote, na kwa uwezo wetu wote, na hata ikibidi kugharimia kwa machozi, jasho na damu, tutagharimia!.
P
Kama tu pale kawe ulipata kura moja kwenye Kura za maoni sasa huo muungano utaulinda vipi?
 
Kama kipindi cha Magufuli Kinana alikuwa anashirikiana na Nape,January na Ngeleja kumsengenya Magufuli.Waliopondolea akina Makamna Kinana ilikuwa ni swala la Muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…