Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Umri jamani
 
Halafu wana mafanikio kinyama

Usipokabiliana na hali hii ya chuki chuki kifuani basi kama hutong'oka kwa Shinikizo la damu basi utang'oka kwa sonono.

Wapo majambazi kibao na wenye mafanikio wenye kuwaondoa watu kwenye uporaji wao wala SI sonono wala BP.
 
Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.

Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Wanataka kuongezewa ngapi..tuandae mabango kuunga mkono Hoja ....
 
Kama hii inawavuruga hisia, akili na roho mpaka wanasahau wajibu wao, wakiongezewa situtakuwa tumewaonea sana jamani!!!!!
 
Comrade kinamna tuambie, unataka waongezewe kiasi gani ili roho yako ifurahi?
Pesa ipo, wewe tu.
(Ina maana kinana anapokea zaidi ya mshahara wa wabunge ndio maana mil 12 kaziona ndogo)
 
Rasmi nimehitimisha ule uchunguzi wangu! Sasa nna publish officially kuwa "Watu wasio na visogo, yaani kichwa flati akili zao ni ndogo sana".

Ndo maana hata wenye shida ya utindio wa ubongo vichwa vyao nyuma vipo flat
[emoji24][emoji24][emoji24] people are just people [emoji137]
 
Back
Top Bottom