Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

Mzee Kinana ataka Wabunge waongezewe mshahara

Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.

Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.

Ah wameshaongezewa kitambo tu
 
Haya kinana unataka wabunge walipwaje....
Mln 100 kwa mwezi au mln 300 kwa mwezi

Ova
 
Comrade kinamna tuambie, unataka waongezewe kiasi gani ili roho yako ifurahi?
Pesa ipo, wewe tu.
(Ina maana kinana anapokea zaidi ya mshahara wa wabunge ndio maana mil 12 kaziona ndogo)
Mbona walishajiongezea?
Sasa wanalamba 18
 
Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.

Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Mishahara kwa viwango vya Afrika sawa, hawa wabunge hawaishi Afrika wanaishi TZ, kwa TZ hiyo mishahara ni mikubwa!! Analinganisha mishahara tu, alinganishe na mapato hizo nchi zinayoingiza, aache upumbavu,
Kwanini haya mazeee hayafi tu?!
 
Back
Top Bottom