Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasira ana uzee gani? Juzi Kati kateuliwa na rais kushika wadhfa mkubwa tu.Wasira je?[emoji23]
Aliongezea nyingine watu wapande mshikaki boda bodaLile agizo lake la Trafik vipi lilifanikiwa..
Kinana anapambania maslahi ya wabunge wake kwa sababu mfumuko wa bri ambao umesababishwa na chama chake umeshaleta athari kwa wabungeHakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Tutakushtaki kwa uchochizi🤣Rasmi nimehitimisha ule uchunguzi wangu! Sasa nna publish officially kuwa "Watu wasio na visogo, yaani kichwa flati akili zao ni ndogo sana".
Ndo maana hata wenye shida ya utindio wa ubongo vichwa vyao nyuma vipo flat
Sitting allowance 120,000Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Nakuja kilingeni kusaka ufundi.
NA KWELI MISHAHARA YA WABUNGE MIDOGO SANA NASHAURI WATUMISHI WA UMMA WAPUNGUZIWE MISHAHARA YAO ILI LILE PUNGUZO WAONGEZEWE WAHESHIMIWA SANA WABUNGE ILI WAWEZE KUPITISHA MIKATAPA KAMA YA DP WORLD BILA KINYONGO wazo la KINANA liungwe Mkono na Watanzania woteHakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Sikushauri maana hauna barakaNakuja kilingeni kusaka ufundi.
Nahitaji huo mshahara aisee. Mtaani sipiti barabara rasmi nakatiza kwenye korido z watu kukwepa maduka ya kina Lashayo kwa madeni
Hizi figure sio sahihi,
Siasa na dini ndio kazi zinazolipa zaidi hapa Africa.Naona mwisho wa kufikiri umefika sasa.
Siasa inaendelea kuwa kazi inayolipa vizuri kuliko kazi yeyote Tanzania.
Maengineer, Madaktari, wanasheria, Wezi, Matapeli, Wafanyabiashara, Maprofesa, nk wote wanakuwa wanasiasa maana ndio biashara/kazi pekee yenye mshahara mrefu.