Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Ongea tu mtoto Recho [emoji39][emoji114] Sina la kusema
Halafu wana mafanikio kinyamakuna huyu mzee na kuna mzee wa msoga siwapendi....nawachukia mno
wewe ndo utakufa kwanzaHalafu wana mafanikio kinyama
Usipokabiliana na hali hii ya chuki chuki kifuani basi kama hutong'oka kwa Shinikizo la damu basi utang'oka kwa sonono.
Umri jamaniHakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa. Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Halafu wana mafanikio kinyama
Usipokabiliana na hali hii ya chuki chuki kifuani basi kama hutong'oka kwa Shinikizo la damu basi utang'oka kwa sonono.
Awagawie yale mauzo yake ya nyaraHehe utawala wa mtukufu 'Big Brother' kazini
Wanataka kuongezewa ngapi..tuandae mabango kuunga mkono Hoja ....Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
πππHalafu wana mafanikio kinyama
Usipokabiliana na hali hii ya chuki chuki kifuani basi kama hutong'oka kwa Shinikizo la damu basi utang'oka kwa sonono.
Wasira je?[emoji23]kuna huyu mzee na kuna mzee wa msoga siwapendi....nawachukia mno
[emoji24][emoji24][emoji24] people are just people [emoji137]Rasmi nimehitimisha ule uchunguzi wangu! Sasa nna publish officially kuwa "Watu wasio na visogo, yaani kichwa flati akili zao ni ndogo sana".
Ndo maana hata wenye shida ya utindio wa ubongo vichwa vyao nyuma vipo flat