Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Wanataka mapato yao yatoke kwa wananchi na rasilimali za nchi tuAwagawie yale mauzo yake ya nyara
tutaanza kelele.Waongezewe tu
Mbona walishajiongezea?Comrade kinamna tuambie, unataka waongezewe kiasi gani ili roho yako ifurahi?
Pesa ipo, wewe tu.
(Ina maana kinana anapokea zaidi ya mshahara wa wabunge ndio maana mil 12 kaziona ndogo)
Mishahara kwa viwango vya Afrika sawa, hawa wabunge hawaishi Afrika wanaishi TZ, kwa TZ hiyo mishahara ni mikubwa!! Analinganisha mishahara tu, alinganishe na mapato hizo nchi zinayoingiza, aache upumbavu,Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.