Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari.
Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya mafanikio. Kikubwa alisema kuwa mapato ya serikali yameongezeka maradufu kuliko awamu zote zilizopita.
Ameongea hayo huku nafsi yake ikimsuta kuwa anazungumza uongo mchana kweupee (kawaida ya CCM).
Tujiulize, hizi nyimbo zinazoimbwa na Kinana, Kafulila, Kitila, Mwigulu and co. Huwa wanajiuliza haya yafuatayo?

- Sababu zipi zimeigawa bandari zetu kwa DP World?
- Uwiano wa pesa za misaada zinazoendesha bajeti kupanda ambapo hela za mapato ya ndani zinalidhi bajeti chini ya asilimia 60 nini kinasababisha hayo?
- Kusuasua na hata kusimama kwa miradi mingi iliyoanzishwa awamu ya 5 kumesababishwa na nini?
- Malimbikizo ya stahiki halali za wafanyakazi nini kimetibuka?
- Serikali kutumia kikokotoo kukwapua mafao ya wastaafu l, kunaakisi ongezeko la pato la taifa?
- Sheria ya bima ya afya na kitita kipya cha huduma za afya kupitia bima, mbona kunaakisi kufilisika kwa hazina?
- Wizi kupitia miamala ya simu hususani kuita TOZO ndiyo kuongeza makusanyo?