Mzee Kinana mbona hazungumzii Mkataba wa Bandari

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama.

au kama kuna clip mnayo ya Mze Kinana akisifia mkataba wa bandari. muiweke hapa kwa ajili ya rejea
 
Umemuona alivyokwenda kumsalimia General Musuguru?

Hao ndio wanamjua Kinana, hawezi kuingilia haya kwa wadhifa wake kambini.

 
Huyo nae na meno ya tembo wetu hawezi kuzungumzia lolote.
 
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi iliketi hivi karibuni na Moja ya maazimio yao ni Kuiunga Mkono Serikali kwa Kuingia Mkataba na DP World na kumwambia Mama Samia asongenmbele na mkataba huo. Kikao hicho na Mzee Kinana alihudhuria. Swali jengine?
 
Inashangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…