Mzee Kisoki: Kagoma hatakiwi kuomba msamaha, Yanga hana mamlaka ya kumtaka afanye hivyo! Yanga hawakutimiza vigezo vya kumsajili, Simba walitimiza

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Haki za Wachezaji na wanasubiri Kikao ili kuendelea kumtetea Mchezaji.

Amesema "Mchezaji anatakiwa awekewe heshima yake, Wadau wengi hawaelewi kutofautisha Mkataba na Usajili ambavyo ni tofauti na vinakuja kukutana baadaye, kimoja kikimuhitaji mwenzake. Mkataba unahitaji usajili. Ili Mkataba ukamilike kabisa kwa ajili ya kwenda mbele, karatasi ya mwisho lazima iwe na Majina Kamili ya Mchezaji, saini yake na alama ya Kidole gumba. Pia, jina la anayemsainisha Mchezaji, Jina la Klabu na Mashahidi pamoja na vielelezo vyao"

"Mkataba ndio utakuja kutumika kumsajili Mchezaji ambapo anasajiliwa na Shirikisho baada ya Klabu husika kutuma maombi ya kumsajili mchezaji wake. Katika Maombi ya kumsajili mchezaji kuna vielelezo 12 vinavyotakiwa vikamilike ili Mchezaji asajiliwe achezee timu yake. Kielelezo cha kwanza Jina, Cheti cha kuzaliwa, Mkataba wenye nakala 3, ruhuau kutoka kwa Klabu mchezaji alikuwa anacheza (Release Letter), Utimamu wa afya, na vingine vingi."

Akizungumzia kuhusu Yanga SC na Kagoma amesema "Watu wanatakiwa kujiuliza nani alitimiza haya msharti? Je, mkataba wa Kagoma na Yanga ulikidhi vigezo vyote vya kuwepo kwa mihuri yote, sahihi zote na kila kitu na majina kamili? Je, ulipelekwa Shirikisho kwa ajili ya Usajili? Je, waliweza kumalizana na Singida kwa malipo kwa ajili ya kumnunua Mchezaji? Kwa vielezo nilivyonavyo Yanga hakufanya hivyo, Simba SC ndio walitimiza vigezo vyote vya kuweza kumsajili Mchezaji na kuweza kumsajili Shirikisho"
Kagoma.jpg

Yusuph Kagoma

Aidha, amesema Kagoma alisaini Yanga baada ya kuambiwa na Waajiri wake, Singida kwani bado alikuwa yupo kwenye ajira. Kwani Mchezaji aliyekwenye Mkataba anatakiwa asifanye mazungumzo yoyote kabla ya Klabu yake haijafanya mazungumzo hayo hivyo kama Yanga walimfuata Mchezaji kwanza waseme ili waweze kuhukumiwa kwa hilo kwani watakuwa wamevunja Sheria.

Aidha, kuhusu Yanga kutaka Kagoma aombe Msamaha, Mzee Kisoki amesema "Kagoma hatakiwi kabisa kuomba msamaha, kwanza hayo mamlaka Yanga wamepewa na nani kumwambia Mchezaji aombe Msamaha kwa Kanuni ipi? Mpira unaendeshwa kwa Kanuni. Hana haki Mchezaji ya kumwambo msamaha mtu yeyote na hawezi kufanya hivyo."​
 
Aidha kuhusu Yanga kutaka Kagoma aombe Msamaha, Mzee Kisoki amesema "Kagoma hatakiwi kabisa kuomba msamaha, kwanza hayo mamlaka Yanga wamepewa na nani kumwambia Mchezaji aombe Msamaha kwa Kanuni ipi? Mpira unaendeshwa kwa Kanuni. Hana haki Mchezaji ya kumwambo msamaha mtu yeyote na hawezi kufanya hivyo."
Patachimbika ngoja tutajua panapovuja, kama mchezaji alikuwa sahihi uongozi wake ulienda kuomba wayamalize nje ya kamati kivipi? Na kwanini walienda kuomba msamaha kama walijua wapi sahihi? Wacha Sheria ifate mkondo wake tuone!
 
Itafahamika tu
 
Hii kitu ipo kisiasa zaidi,kiushabiki and kukomoana badala ya kumsaidia mchezaji na mpira wa nchi uendelee,ingekua Yanga ndio wamemsajili Lameck sipati picha zengwe lake lingekuaje
 
Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Haki za Wachezaji na wanasubiri Kikao ili kuendelea kumtetea Mchezaji.

Amesema "Mchezaji anatakiwa awekewe heshima yake, Wadau wengi hawaelewi kutofautisha Mkataba na Usajili ambavyo ni tofauti na vinakuja kukutana baadaye, kimoja kikimuhitaji mwenzake. Mkataba unahitaji usajili. Ili Mkataba ukamilike kabisa kwa ajili ya kwenda mbele, karatasi ya mwisho lazima iwe na Majina Kamili ya Mchezaji, saini yake na alama ya Kidole gumba. Pia, jina la anayemsainisha Mchezaji, Jina la Klabu na Mashahidi pamoja na vielelezo vyao"

"Mkataba ndio utakuja kutumika kumsajili Mchezaji ambapo anasajiliwa na Shirikisho baada ya Klabu husika kutuma maombi ya kumsajili mchezaji wake. Katika Maombi ya kumsajili mchezaji kuna vielelezo 12 vinavyotakiwa vikamilike ili Mchezaji asajiliwe achezee timu yake. Kielelezo cha kwanza Jina, Cheti cha kuzaliwa, Mkataba wenye nakala 3, ruhuau kutoka kwa Klabu mchezaji alikuwa anacheza (Release Letter), Utimamu wa afya, na vingine vingi."

Akizungumzia kuhusu Yanga SC na Kagoma amesema "Watu wanatakiwa kujiuliza nani alitimiza haya msharti? Je, mkataba wa Kagoma na Yanga ulikidhi vigezo vyote vya kuwepo kwa mihuri yote, sahihi zote na kila kitu na majina kamili? Je, ulipelekwa Shirikisho kwa ajili ya Usajili? Je, waliweza kumalizana na Singida kwa malipo kwa ajili ya kumnunua Mchezaji? Kwa vielezo nilivyonavyo Yanga hakufanya hivyo, Simba SC ndio walitimiza vigezo vyote vya kuweza kumsajili Mchezaji na kuweza kumsajili Shirikisho"
View attachment 3094030
Yusuph Kagoma

Aidha, amesema Kagoma alisaini Yanga baada ya kuambiwa na Waajiri wake, Singida kwani bado alikuwa yupo kwenye ajira. Kwani Mchezaji aliyekwenye Mkataba anatakiwa asifanye mazungumzo yoyote kabla ya Klabu yake haijafanya mazungumzo hayo hivyo kama Yanga walimfuata Mchezaji kwanza waseme ili waweze kuhukumiwa kwa hilo kwani watakuwa wamevunja Sheria.

Aidha, kuhusu Yanga kutaka Kagoma aombe Msamaha, Mzee Kisoki amesema "Kagoma hatakiwi kabisa kuomba msamaha, kwanza hayo mamlaka Yanga wamepewa na nani kumwambia Mchezaji aombe Msamaha kwa Kanuni ipi? Mpira unaendeshwa kwa Kanuni. Hana haki Mchezaji ya kumwambo msamaha mtu yeyote na hawezi kufanya hivyo."​
Atleast angeongea kwa vifungu,ila nae kaongea kama mshabiki. Ndio maana kwenye sajili na mikataba kuna matatizo mengi, kuna uwezekano hata wanasheria hawa shirikishwi.

Fei,Dube,Lawi,Awesu,Kagoma nk haya ukicheck ni kukosekana kwa uweledi,wacheni wanasheria wafanye kazi yao.
 
Patachimbika ngoja tutajua panapovuja, kama mchezaji alikuwa sahihi uongozi wake ulienda kuomba wayamalize nje ya kamati kivipi? Na kwanini walienda kuomba msamaha kama walijua wapi sahihi? Wacha Sheria ifate mkondo wake tuone!
Wewe unaamini kwamba uongozi wake ulienda kuomba msamaha?.......kwanini asiwe mchezaji?........
 
Back
Top Bottom