Rapid Tranquilizer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 374
- 392
Kua na heshima we dg nani form four sasa we ka hujaelewa ujue haijaandikwa kwa ajili yako huoni wenzio wameenda sawaJamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
Asante tuvumilieni mpaka January shule zikifunguliwa hamtatuona tena mpaka JuneJamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msaheme bureWe bwana mdogo uwe unaangalia na watu wa kuwaita form four kenge wewe..inawezekana jamii forum huifahamu vizuri..maisha haya hutakiwi kuwa serious sana kama ni hivyo usiwe unaingia hata jamii forum..umefata nini kwenye huu uzi mbona kuna nyuzi nyingi sana mkuu uweza kwenda kwenye siasa huko,biashara nk.
Angalieni video View attachment 952260
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msaheme bure
Unaifahamu faragha ilivyo?
Pombe sio chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka... tena sana... Ulivyoanza kuandika nikasema ni station ya TV mpya au ni mtu kanunua antena yake kashindwa kununua na king'amuzi!!Angalieni video View attachment 952260