Rapid Tranquilizer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 374
- 392
K
Kua na heshima we dg nani form four sasa we ka hujaelewa ujue haijaandikwa kwa ajili yako huoni wenzio wameenda sawaJamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.
Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.