Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

Mzee Likwidii.... Ndani ya antenna bila king'amuzi

K
Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.

Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
Kua na heshima we dg nani form four sasa we ka hujaelewa ujue haijaandikwa kwa ajili yako huoni wenzio wameenda sawa
 
Sifa za kijinga hyo misifa tu
Imemponza.....
Nshagumiana changombe kwanza pombe zinampelekesha hayuko stable mneno mengi tu akilewa

Naishiaaa hpo

Ova
 
Jamii forums imeanza kuwa kama facebook. Watu wanakosa mambo ya maana ya kupost yaani unampost ndugu yako kama vile wote tunamfaham.nyie form four toka mmalize shule mnasumbua sana humu ndani.

Mtu ukimfaham wewe basi unachukulia wote tunamfaham?sasa hii issue sisi wanaJF inatuhusu nini?umekomaa tu antena bila king'amuzi ndo msemo mpya kwako? Mkue bwana.
Asante tuvumilieni mpaka January shule zikifunguliwa hamtatuona tena mpaka June
 
We bwana mdogo uwe unaangalia na watu wa kuwaita form four kenge wewe..inawezekana jamii forum huifahamu vizuri..maisha haya hutakiwi kuwa serious sana kama ni hivyo usiwe unaingia hata jamii forum..umefata nini kwenye huu uzi mbona kuna nyuzi nyingi sana mkuu uweza kwenda kwenye siasa huko,biashara nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msaheme bure
 
mbona huyu ni kile chama lenu pendwa na thread yenu ipo humu leo mumemkana walevi sio marafiki wa shida na raha
 
Huyu mzee kwanza kakusanya wine kama zote akaanza kuongea ongea akapanda jukwaani sijui sifa zilimzidi akarukia chini pale pale mguu kwa heri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mbona huyu ni kile chama lenu pendwa na thread yenu ipo humu leo mumemkana walevi sio marafiki wa shida na raha
Hapana huyu ni kenge kwenye msafara wa mamba....
Katibu mrangi jongea utie neno hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom