Buriani Jabali la Siasa Tanzania
Wanasiasa wajifunze kitu kimoja muhimu sana kwa Lowassa
Lowassa aliweza kudhibiti ulimi wake, hakuwa mdhalilishaji wala mtukanaji wa Wapinzani wake
akiwa CCM hakuwahi kuwatukana Chadema japo Chadema walimdhalilisha sana sana na alipohamia kule waliodhalilika ni Chadema sio Yeye kwa kuwa hakuwahi kuwakebehi
alipokuwa Chadema hakuwahi kuwatukana CCM na hata aliporejea CCM waliodhalilika ni CCM waliomkebehi baada ya kuhama
Mtu pekee kwny Siasa za Nchi hii alieamua kumfuata Lowassa popote anapoenda akiwa Mtiifu kwake ni Comrade Hamis Mgeja aliekuwa Chawa wake tangu 1994 kwny UV CCM
Lowassa alipchukua fomu ya Urais 1995 Mgeja alikuwa pembeni yake
Lowassa alipokatwa akamuunga Mkono Jakaya na Mgeja akamuumga Mkono Jakaya
Lowassa alipohama CCM 2015 Comrade Mgeja aliacha Uenyekiti wa CCM Shinyanga akaenda kuwa Mwanachama wa kawaida wa Chadema amsaidie Rafiki yake na aliporejea pia alirejea nae
Wengine wote kina Bashe na Nchimbi walipowekwa kwny mazingira ya kuchagua hatma zao za kisiasa or Lowassa walichagua hatma zao ila Mgeja alichagua kuwa na Ngoyai