Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Labda inakusuta wew kwa niaba...JK sidhani kama atahudhuria huu msiba mkubwa, sbb nafsi itamsuta sana sana
JK anakwenda kumzika rafiki yake bila tashwishwi yeyote 🐒
R.I.P Laigwanan comrade EL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda inakusuta wew kwa niaba...JK sidhani kama atahudhuria huu msiba mkubwa, sbb nafsi itamsuta sana sana
Labda inakusuta wew kwa niaba...
JK anakwenda kumzika rafiki yake bila tashwishwi yeyote 🐒
R.I.P Laigwanan comrade EL
R.I.P Laigwanan comrade ELHujui kitu wewe kichwa nazi
R.I.P Laigwanan comrade EL
in politics there is no permanent enemy 🐒JK anaweza kwenda kwa shingo upande upande, tatizo hujui kipi kilitokea ulisoma mitandaoni au magazetini au kupewa hadithi tu, kaa kimya
Mtakufa vinywa wazi kwa sababu ya majungu dhidi ya Kikwete.Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako
Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa katibu mkuu wa chama. Nafasi ambayo awali Kinana aliitumia kumwadhibu Lowasa. Wote hawa wakati wanamwadhibu Lowasa waliamini wao wataweka watu wao wanaoweza kilisogeza gurudumu la kazi za ccm mbele.
CCM imeparaganyika after Lowasa imebidi wakawatafute wanafunzi wa Lowasa wawape kazi yakutumia mbinu za nguli huyu kujisahihisha.
Nchimbi kuwa KM imemfariji sana Lowasa na amelala kwa amani kama shujaaaa.
Hoja ni Je, JK na familia yake atashiriki msiba huu? Je, JK amejifunza nn ugomvi wa Uhuru na Ruto Kenya?