Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

Buriani Jabali la Siasa Tanzania
Wanasiasa wajifunze kitu kimoja muhimu sana kwa Lowassa

Lowassa aliweza kudhibiti ulimi wake, hakuwa mdhalilishaji wala mtukanaji wa Wapinzani wake

akiwa CCM hakuwahi kuwatukana Chadema japo Chadema walimdhalilisha sana sana na alipohamia kule waliodhalilika ni Chadema sio Yeye kwa kuwa hakuwahi kuwakebehi

alipokuwa Chadema hakuwahi kuwatukana CCM na hata aliporejea CCM waliodhalilika ni CCM waliomkebehi baada ya kuhama

Mtu pekee kwny Siasa za Nchi hii alieamua kumfuata Lowassa popote anapoenda akiwa Mtiifu kwake ni Comrade Hamis Mgeja aliekuwa Chawa wake tangu 1994 kwny UV CCM

Lowassa alipchukua fomu ya Urais 1995 Mgeja alikuwa pembeni yake

Lowassa alipokatwa akamuunga Mkono Jakaya na Mgeja akamuumga Mkono Jakaya

Lowassa alipohama CCM 2015 Comrade Mgeja aliacha Uenyekiti wa CCM Shinyanga akaenda kuwa Mwanachama wa kawaida wa Chadema amsaidie Rafiki yake na aliporejea pia alirejea nae

Wengine wote kina Bashe na Nchimbi walipowekwa kwny mazingira ya kuchagua hatma zao za kisiasa or Lowassa walichagua hatma zao ila Mgeja alichagua kuwa na Ngoyai
 
Kiongozi una ushahidi.. na kama unao mbona hukwenda mahakamani..
Acheni masuala ya Lowassa. Akileta ushahidi utaufanyia nini? Nyerere alipowatupia CCM jalada la Lowassa wewe ulikuwepo? Unajua hoja yake dhidi ya Lowassa ilikuwa ni nini? Pili, nani anajua kuwa Lowassa alikuwa na ufahamu hatawa kutambua kuwa Nchimbi kateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Haya yote ni mambo ya kufikirika tu.
 
Unaweza ku - justify hoja yako?

Au kwa kuwa unasikiaga tu wengine wanasema hivyo na wewe ukadaka hivyo hivyo kama kasuku?

By the way jina lako tu wewe yaani The Evil Genius linasadifu wewe ni mtu wa namna gani...

Yaani wewe ni binadamu mwovu uliyebobea (evil genius)...

Mtu mwovu uliyebobea kama wewe utashindwaje kuwa na tabia za mtu mzushi, mwongo na mchonganishi..?
 
Mgeja na Chizii walienda na Lowasa popote alipoenda

Nchimbi, Bashe, Kimbisa, Sophia, Pindi nk walibaki CCM kimkakati Ili kuvuna kura za Urais CCM na UKAWA na walifanikiwa Sema tu kwenye Uchaguzi kushinda ni jambo Moja na kutangazwa mshindi ni jambo lingine kabisa 😂
 
Hebu lete picha Nyerere akitupa jalada la Lowasa... Kama sio habari za vilabu vya Komoni!
 
Alikuibia nini wewe

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Rip EL
 
Acheni fitina...Hizo siasa zilisha Isha na watu wakisha reconcile...Hii ndiyo maana tunasema CCM huwa inabeba agenda za kitaifa. Hakuna mkubwa wala mdogo CCM anybody can be a leader na Bado chama kikabakia kile kile...

Mh. Samia amejitahidi kuleta umoja wa kitaifa, alianza Kwa wapinzani mkalikoroga, sasa ameamua kurudi kujiunganisha nchi kupitia CCM.

Ebu basi tumuunge mkono Ili tuanze upya kama Taifa...Wale watatu wote Mungu kawapenda zaidi, sisi tuliobaki tuweke ya zamani kando tuijenge nchi yetu
 
Unashuhudia ukweli?unaushahidi nao?
Usimshuhudie jirani yako uongo
Propaganda zinaweza kuwa dhidi yako hapo uta tahayari!!
 
Hakika umenena ukweli, nasubiria kuona ushiriki wa kikwete kule monduli malipo ni hapahapa ngoja tuone
 
Aiseee?! Ulisoma shule gani ya Kata? Kiingereza mbichi sana hii
 
Hata marehemu Captain Komba, alisema waziwazi kuwa anamuunga mkono Edward Lowassa... vile vile Mzee Kingunge... mara kwa mara alisikika kwamba Edward anastahili kuwa Raisi wa Nchi hii...

RIP comrades...
 

JK sidhani kama atahudhuria huu msiba mkubwa, sbb nafsi itamsuta sana sana
 
Ndiyo maana. Basi tumia tu hiki kibantu achana na hii kitu kinaitwa kiingereza
kwamba nijipe umuhimu kama wewe, naandika lugha ya malkia najibiwa kibantu kinyonge sana🐒

akati hoa wenye chao wananielewa vizur sana na wao kwa uchache maneno mawili matatu ya kibantu wanadonoadonoa broken pole pole na tunasonga, ngoma ni droo 🐒

ila sasa kwa much know wabaruza viatu town na vibahasha vya cv ni sheeeda sana 🤣

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…