Mzee Lowassa amesubiri Dr. Nchimbi awe Katibu Mkuu CCM ndipo aondoke duniani akiwa na amani kwamba waliostahili wamestahimilishwa

JK sidhani kama atahudhuria huu msiba mkubwa, sbb nafsi itamsuta sana sana
Labda inakusuta wew kwa niaba...

JK anakwenda kumzika rafiki yake bila tashwishwi yeyote πŸ’

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
JK anaweza kwenda kwa shingo upande upande, tatizo hujui kipi kilitokea ulisoma mitandaoni au magazetini au kupewa hadithi tu, kaa kimya
in politics there is no permanent enemy πŸ’
hiyo shingo upande inabaki kwa watu laini laini as u

R.I.P Laigwanan comrade EL
 
Mtakufa vinywa wazi kwa sababu ya majungu dhidi ya Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…