Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Unaongelea Lowasa huyu huyu aliyeitwa mhuni na mwl Nyerere ama ni mwingine?Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania
Kuitwa muhuni sio kwamba ni kweli muhuni kwa i nyerere ni Mungu?Unaongelea Lowasa huyu huyu aliyeitwa mhuni na mwl Nyerere ama ni mwingine?
Hata aje Rais toka nje ya hii dunia, ndani ya mfumo wa utawala wa CCM hawez toboa!!Morng
Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.
Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm
Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?
Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
Hapana kwaukweli ni kwamba hapa tz hakuna mtazania mzalendoHata aje Rais toka nje ya hii dunia, ndani ya mfumo wa utawala wa CCM hawez toboa!!
Nnapokwambia mfumo namaanisha uzalendo unapaswa uanzie kwa watawala ili kuonyesha mfano kwa walio chini na raia wa kawaida!!Hapana kwaukweli ni kwamba hapa tz hakuna mtazania mzalendo
Ndio ila sio swala la kuilaumu ccm bali ni swala la kumlaumu mtu kama mtu na sio chamaNnapokwambia mfumo namaanisha uzalendo unapaswa uanzie kwa watawala ili kuonyesha mfano kwa walio chini na raia wa kawaida!!
Tatizo ni mfumo wa utawala ambao ni wa CCM, over!! Hakuna mtu kama mtu ataweza ondoa matatizo ya mfumo bali ni wana mfumo kubadilika!!Ndio ila sio swala la kuilaumu ccm bali ni swala la kumlaumu mtu kama mtu na sio chama
Maono ya utapeli na ujambazi alikuwa nayo. Unaweza kuwa sahihi kuwa katika hilo hakuna wa kiwango chake.Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm
Usiseme hivyo kuna watanzania wengi sn wazuri tatizo ni mfumo ovu tulio naoMorng
Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.
Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm
Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?
Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
Nakubaliana na weweTatizo ni mfumo wa utawala ambao ni wa CCM, over!! Hakuna mtu kama mtu ataweza ondoa matatizo ya mfumo bali ni wana mfumo kubadilika!!
Lowasa wa Escrow na Richmond au Lowasa gani?Morng
Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga.
Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna mwanasiasa atakae tokea kuwa kama yeye hawa tulio nao sasa ni waganga njaaa hakuna tumaini tena sio upinzani wala ccm
Watu wanamuona kama Biteko kuwa Rais mzuri ajae ila mimi silioni ilo kwa Biteko kabisa kwaza tukague jimboni kwake kafanya yapi ya ajabu?
Ukweli tuseme hakuna tumaini jipya kwasasa
mwalimu alikuwa hawataki watu wenye akili, alikuwa akiwaogopa! yule mzee (Nyerere) naye alifanyika kikwazo kikubwa sana cha maendeleo yetu kama taifa.Unaongelea Lowasa huyu huyu aliyeitwa mhuni na mwl Nyerere ama ni mwingine?
hawa waliopo tusha wa-test, tumeona hawafai. tuwape wengine miaka mitano tuone,Hapana kwaukweli ni kwamba hapa tz hakuna mtazania mzalendo
Cku zote bosi wa wahuni huwajua wenzakeUnaongelea Lowasa huyu huyu aliyeitwa mhuni na mwl Nyerere ama ni mwingine?