Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataga mnajipa moyo eeeeh hamjui safari hii yupo kachero mbobezi ata ivyo mataga vichwa maji mnaeza msiwe mnajua kachero ni nani tena mbobezi!!!!Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Nataman kucheka lakini nasikitika sababu ndo uwezo wako wa kufikiri ulipogota.Nyumbu wa Lumumba akili zenu mmeshikiwa kwa hiyo ilani unaona ni bonge la inshu? Ilani hata fomu 4 anaweza kuidraft kwa dakika sembuse cdm chama kubwa?
Cheka tu taahira hebu tuelimishe tusiojua ilani ni nini na inachukua miaka mingapi kuiandaa je kwenda na ilani uliyotumia uchaguzi uliopita ni dhambi?Nataman kucheka lakini nasikitika sababu ndo uwezo wako wa kufikiri ulipogota.
Hata mie natamani kucheka ila najikaza tu yaani msamiati wa neno ilani unakuchanganya mpaka unaona ni big insu ambayo kuiandaa labda utahitaji maabara za kisasa na mabilioni ya hela na muda labda miaka 3, wakati shortly ilani ni ahadi za chama au mgombea atakazotekeleza akichaguliwa na mikakati ya utekelezaji wa hizo ahadi full stop lkn nyumbu nakuona unavyobabaika na msamiati wa neno ilani!Nataman kucheka lakini nasikitika sababu ndo uwezo wako wa kufikiri ulipogota.
Tatizo ni Ubepar tuuKwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.
Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.
Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5