Mzee lowassa timiza ile ahadi yako ya kwenda kuwashukuru na pia wakushukuru,maana zile kura mil 6 hawatozipata tena maisha!

Ebu rudia jinsi alivyo kuwa anajibu pale alivyokuwa anahojiwa na wazungu baada ya kivuko kuzama ziwani
Bhangi mbaya sana sasa ulitaka mtu asizeeke wakati umri unaongezeka!

In God we trust
 
Acha UZUSHI WEWE! Mie na huyu fisadi lowassa wapi na wapi! Nilimpinga kabla hajakimbilia chadema na hata baada ya kukimbilia chadema. Mie si bendera fuata upepo.
Aah hamuaminiki nyie sema poa bado mpo na sumaye na nyalandu sijui unasemaje kuhusu hao!
 
Tume ipo huru subiri wiki hii hii Lowassa atatueleza kama tume ni huru au sio huru!

Lowassa hela yake imeliwa huko cdm. Yeye na wanaccm waliamini anakubalika sana cdm, na akirudi ccm basi wanacdm pia watamfuata, kajikuta anarudi na wanaccm wenzake waliomfuata. Hata akisema chochote huko ccm aliko watu wanampotezea tu. Asiseme tu tume iko huru, bali aseme hata hizo kura 6m yeye ndio alimuibia Magufuli.
 
Wewe na msukuma kasheku mlimwambia alijinyea au unakataa leo tukuwekee clip?

In God we trust
kama umejinyea na wewe hujui kuna ubaya gani ukiambiwa nyinyi mlikuwa hamtaki akanawe!
 
Wote hao ni makosa kuwepo chadema sijawahi kuona umuhimu wao wa kuwepo chadema hata kwa sekunde moja.

Aah hamuaminiki nyie sema poa bado mpo na sumaye na nyalandu sijui unasemaje kuhusu hao!
 
Sawa sawa kabisa!
 

Siku nyingine usipigie kura Upinzani wala CCM ila Pigia Kura ANAYEKUFAA, kwa kufanya hivyo hutajilaumu
 
Wote hao ni makosa kuwepo chadema sijawahi kuona umuhimu wao wa kuwepo chadema hata kwa sekunde moja.
Yule mmoja kazi yake ni ilikuwa kumuuguza lissu nairobi na yule mwingine ni kumpepea lowassa kipindi kile cha kampeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…