Hussein Kiula
Member
- Oct 24, 2012
- 12
- 15
Kwani mzee Mbowe ashatia neno kwenye tozo?Nauliza mzee lowassa yupo wapi?mbona hatumsikii kabisa.
tumezoea kumwona mzee lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekua kimya muda mrefu sijui yupo wapi? mzee
Ohooooo...R.I.P MREMA
Tufunge sana kwa Maombi juu yake!!Nauliza mzee lowassa yupo wapi?mbona hatumsikii kabisa.
tumezoea kumwona mzee lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekua kimya muda mrefu sijui yupo wapi? mzee
Bado, lets pray for him, he is fighting and battling for his life akiwa admitted in a certain hospital, in a certain country outside Tanzania. Mambo ya hali ya afya ya mtu ni family issues na yanalindwa na the right to privacy hivyo naomba msiniulize anaumwa nini, amelazwa wapi na hospitali gani na nchi gani, that is for the family.Ni kweli kuna kipindi nilisikia ni mgonjwa na alifanyiwa operesheni ya tumbo ila imekuwa muda kidogo kwa sasa nafikiri atakuwa kishapona.