Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Sabaya amekuwa na usumbufu toka Secondary. Nasema hivyo, maana tumesoma secondary moja huko Ikizu-Mara, na alikuwa nyuma yangu.
 
Wewe labda kama unamzungumzia Marekani ile baa ya kienyeji kata ya Sambasha Arumeru ambapo Sabaya mdogo aliwahi kuwa diwani, sio Marekani ya Joe Biden usituuzie matango pori!
 
Kusoma nje ya Africa sio kipimo cha uadilifu

Wala baba kuwa muadilifu sio kanuni ya kuwa watoto wawe waadilifu, maana ingekua hivyo tuu sisi wanadamu wote tungekua watakatifu kama Muumba wetu

Ole kashabeba mzigo wake tumwache na maisha yake mapya
Cc Crimea Idugunde
 
Kwa hiyo kijana alifanya mausenge yote hayo huku babake akishangilia siyo!!
 
Elimu gani hiyo aliyoipata ughaibuni?wakati tunasikia ana ka diploma ka kuunga unga alikokapata St John's university(mazengo ya zamani)Dodoma.
 
Ole Sabaya mtoto sio TISS, aligushi vitambulisho na aliwahi kushitakiwa, Magufuli kaifuta kesi na kumteua DC. Maajabu kweli!!!
Huyo walimruka tu ndugu yangu ili ionekane TISS ina watu wasafi ila ukweli ni TISS full ndo maana Magufuli alivyojua ni TISS akafuta kesi na kumteua u-DC.

Alivyokua anasema mamlaka yake ya uteuzi imemtuma alikua kwny dawati la P.Sponsor amefariki ametumika (useless product ).
 
Sio kwa wali na wine. Huo ni umasai.
 
Duuuh sidhani kama Jambazi sabaya amesoma marekani....Jamaa mbona ni mrugaruga?
 
Marekani ya wapi blaza hebu tueleweshe taratibu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nifafanulie kuhusu elimu ya uganda kuna dogo nataka nimpeleke huko

Please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…