Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili.
Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la Wadhamini la Yanga, amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu akiendelea kutafuta haki yake.
Soma Pia:
- Magoma na wenzake watiwa Mbaroni kwa kughushi nyaraka za Yanga
- Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu
Mzee Magoma pia ametaja vitu ambavyo anavipigania ndani ya klabu ya Yanga.