Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi

Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi

Wazee wa Yanga wapo nyuma ya huyu Mzee mwenzao. Hii ni backup plan yao ikitokea huko mbeleni Hersi akazingua au ikifikia mipango yake isipokubaliwa na vyura.

Hii kesi itaelea elea hivyo hivyo ila itakuja kufufuliwa wakati itakapohitajika.
DUh!
 
Back
Top Bottom