Mzee Magoma: Ali Kamwe ni Simba damu. Awataja pia Manara na Ricardo Momo

Mzee Magoma: Ali Kamwe ni Simba damu. Awataja pia Manara na Ricardo Momo

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Akihojiwa na Youtube TV ya S500 TV, Mzee Magoma ameeleza mengi kujibu hoja za uongozi wa Yanga, na mojawapo ni kuweka wazi kuwa Ali Kamwe (msemaji wa Yanga) ni shabiki wa Simba na alilijua hilo zamani tangu Kamwe akiwa mdogo.

Pia amesema Haji Manara yeye hilo liko wazi, na kuongeza wengine wasiohusika katika sakata hilo kama Ricardo Momo kuwa wote hao ni Simba damu aka wana lunyasi

 
Ila hapo kwa Ally Kamwe hapana jamani anamsingizia Aly ni Utopolo mtupuu...mpka anazimia kwa furaha uwanjani unasema ni Simba hapana..
 
Huyu mzee anapiga spana za vichwa mpaka unabaki unashangaa tu 🤣🤣🤣wavue nguo ma snich wote hapo Churani
 
Mzee wa kurujuani atutake radhi wana Simba kumtaja yule ashura uti kama mwana msimbazi, Simba haina shabiki mtu mzima mwenye kilo saba na nusu kama mtoto mchanga
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huyu mzee angekuwa ameenda shule angewasumbua sana Yanga kwenye hii ishu sema ndio hivyo tena
 
Mzee wa kurujuani atutake radhi wana Simba kumtaja yule ashura uti kama mwana msimbazi, Simba haina shabiki mtu mzima mwenye kilo saba na nusu kama mtoto mchanga
😁
 
Alitakiwa kwanza awe mwanachama hai Kabla ya kuhangaika katiba. Halafu kosa la kufoji saini za viongozi litamtokea kusiko.

Hata hivyo kajaribu kutikisha
 
Anachotaka ni funguo tu
 

Attachments

  • FB_IMG_1721312764364.jpg
    FB_IMG_1721312764364.jpg
    51.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom