kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
S500 TV baada ya kuhangaikia sana kupata maudhui yanayovutia kituo chake sasa hivi imepata bingo kwa Mzee magoma. Ni kituo pekee kinachohangaika sana na Magoma kila siku siku hizi Wanapata rizki huko. Vituo uchwara. Ubaya ubwela wa nje ya uwanja. Wakumbuke kuwa akina Magoma wako wengi mitaa.ya kariakoo, Simba Na yanga ndiyo yalikuwa maisha yao,
View: https://youtu.be/RQyWgTe5bBc?si=xHjCx48gj-5i8FU1
View: https://youtu.be/RQyWgTe5bBc?si=xHjCx48gj-5i8FU1