Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.
Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena.
Pia soma: Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby