Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Vipi wanajukwaaMwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.
Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena.
View attachment 3326201
Pia soma: Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby
Hatuchethi hu mwaka hawatausahau aiseeMwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.
Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena.
View attachment 3326201
Pia soma: Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby
Manaratv ipo wapi niwahi chap. Kinondoni, Jangwani, Msasani au Masaki?Ninachomkubali Mzee Magoma a.k.a Mzee wa Kurjuani Kwanza anajiamini halafu hana Unafiki na wala Hajipendekezi.
Kwa wale mnaotaka kujua kasema wapi haya nendeni manaratv mkamsikilize ila Mzee Magoma ndiyo mwenye Yanga SC.
Acha kumtukana baba yako.π€£π€£π€£π€£π€£ uongeaji wake tu huyu mwamba unaonesha kuna kitu hakipo sawa kichwani.
Ni kama vile mtu ambae ameugua kwa muda mrefu halafu akapona.
Yanga sasa hivi mwenye akili ni Mzee Magoma peke yake.Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.
Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena.
View attachment 3326201
Pia soma: Yanga yatoa msimamo: Yaitupilia mbali CAS, Yagoma kurejea kamati za ndani, Yasema haitacheza mechi ya derby
Swali, ripoti ya bodi ya ligi ya uvunjifu wa amani ambao ungelitokea tarehe 8 Mach Iko wapi, na kama bado halafu mmepanga tarehe nyingine je watu wakidhurika hiyo tarehe 15-06-2025Vipi wanajukwaa
Tuongeze orodha ya wenye akili Yanga wafike wa3..
1. Mzee JK
2. Mzee Manara
3. Magoma
πππππππππ
Chiiziii FcMwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15.