Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo.

Pia Soma
- Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu
IMG_2745.jpeg
 
Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo.View attachment 3065298
mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
 
mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata marehemu ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
heeeeeee samahani mkuuu kwani rostam azizi amekuwa marehemu lini tena naona umeandika hapo juu
 
KUR JUAN IMEMRUDIA MAGOMA

Mzee Magoma ameshindwa kwenye kesi yake dhidi ya Yanga ambapo hukumu imetoka leo Agosti 9, 2024 saa 5 asubuh katika mahakama ya kisutu na anatakiwa kuilipa fidia klabu ya Yanga.

Akizungumza na Wasafi Media, Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe amesema kuwa, Magoma ametakiwa kuilipa Yanga gharama zote walizotumia katika kuendesha Kesi hiyo.

Soma Pia: Juma magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga na asimamie assets zote za timu

Sasa analipa fidia kiasi gani?
mbona kama maneno ya kwenye dera
Hujui mahakama inavyoendeshwa...... mtu akikushtaki ukashinda kesi, hakimu anakuuliza kama utataka lipwa gharama za kesi, ukikubali basi anaweka kwenye hukumu, ukikataa pia anaweka hautoleta hilo ombi baadae.

Hivyo ni jukumu lako kupeleka shauri la madai baada ya nakala ya hukumu kutoka, hapo sasa ndio utapeleka gharama unazodai, mahakama itathibitisha hizo gharama kama utaweza zitetea, ndio muhusika atapewa amount ya kulipa.
 
mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
Pumba tupu
 
Nilipoona neno ATA badala ya HATA, nikasema marehemu NGADA FC alijinunulia SANDA mwenyewe, SANDA of all times, amepaniki, maana si ngao ya jamii pekee, bali hata MAGOMA CUP nayo kaikosa. Hii hadithi yako ni kwamba 5+2+1 = 8 ambayo ni nanenane day.
 
Back
Top Bottom