Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

Baada ya kuwahonga wale mawakili wake ili waingie mitini halafu mumkomoe mzee wa watu hii nchi ina shida sana wakati anashinda mara ya kwanza yanga mlikuwa wapi wakati yule mwanasheria wenu kilaza hana anachojua kwenye sheria.
 
KUR JUAN IMEMRUDIA MAGOMA

Mzee Magoma ameshindwa kwenye kesi yake dhidi ya Yanga ambapo hukumu imetoka leo Agosti 9, 2024 saa 5 asubuh katika mahakama ya kisutu na anatakiwa kuilipa fidia klabu ya Yanga.

Akizungumza na Wasafi Media, Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe amesema kuwa, Magoma ametakiwa kuilipa Yanga gharama zote walizotumia katika kuendesha Kesi hiyo.

Soma Pia: Juma magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga na asimamie assets zote za timu


Mashabiki wa yanga wengi ni empty set
 
mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
tafuta pesa upunguze kujieleza sana mzee...
 
Back
Top Bottom